"UTATA WA 9/12" NI HADITHI YA KUFANANISHWA NA FILAMU
Kwa wale wadau wa hadithi za kuvutia na kusisimua wakati wenu wa kuburudika na kufurahi umewadia kile kitabu cha UTATA WA 9/12 kutoka kwa mtunzi mahiri katika ukanda wa AFRIKA MASHARIKI "HUSSEIN TUWA "kitakuwa mitaani kuanzia tarehe 29/04/2013 je wazijua hadithi zanye kufanana na filamu...?unajua raha ya hadithi ni kukuhamisha kihisia na kukuongeza ufahamu...?kama jibu ni ndiyo basi "UTATA WA 9/12" ni kitabu chako na kina kuhusu kwa mawasiliano zaidi piga:-+255655492053/+255764492055 au kwa barua pepe tuwa_kadabra@rocketmail.com