"UTATA SASA UMETIMIA"
Kile kitabu kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu cha UTATA WA 9/12, sasa kitakuwa mitaani rasmi JUMATATU tarehe 29 Aprili 2013. Bei ya Kitabu ni Sh. 10,000/=
Kwa wale wote waliotaka nakala za kitabu kilichosainiwa na mtunzi ambaye ni mimi, basi nawaomba tukutane pale MLIMANI CITY siku ya Jumapili tarehe 28 Aprili katika mgahawa wa FAIRY DELIGHTS ili niwapatie nakala zao zilizosainiwa. Nitakuwa pale kuanzia saa nne asubuhi hadi saa sita mchana.
Ama kwa sehemu nyingine ambapo kitabu kitapatikana kuanzia tarehe 29 Aprili ni kama ifuatavyo hapa chini:
DAR ES SALAAM:
MAARUFU Bookshop - Posta Mpya ( 0657-357 007)
SCHOLASTIC Bookshop, Mlimani City (0687 - 014 681)
UHURU Roundabout (0717- 676 743)
UBUNGO Stendi ya Mkoa (0715-546 000)
PUMA Supermarket - Mwenge
MIKOANI:
DODOMA: 0754-766 001 na 0718-664 808 au fika VICTORY Bookshop
TABORA: 0752 -475 763
MWANZA: 0762-002 992 na 0767 535 607
MOROGORO: 0713-270 343 au fika MOROGORO Bookshop
TANGA: 0655-173 115
ARUSHA: 0755-366 822
IRINGA: 0713-528 475 na 0768-489 772
MBEYA: 0769-608 447
KAHAMA: 0754-668 987
Ahsanteni na natumai hamtanitupa mkono!
UTATA WA 9/12 NI MOJA KATI YA KAZI NYINGI KUTOKA KWA MTUNZI MAHIRI "HUSSEIN TUWA"