
NEYMAR amegusa ardhi ya Barcelona kufuatia usajili wake wa pesa nene, pauni milioni 46 na kufuzu vipimo vya afya.
Akiwa
ametokea kwenye mechi ya Brazil na England iliyoishia 2-2, Neymar 21,
alifanyiwa vipimo jana mchana kabla ya baadae kutambulishwa rasmi kwa
mashabiki wa Barcelona.
Hizi ndio picha za namna Neymar alivyofanyiwa vipimo.
Labels: SPORT