Viongozi mbalimbali
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao/sime katika mnara wakati wa
maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya,
Bukoba, mkoani Kagera siku ya jana.

Viongozi wa dini wakisoma dua kwenye maadhimisho hayo. Pembeni ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Othman Makungu
Rais Jakaya Kikwete akitembelea makaburi ya mashujaa waliopoteza maisha wakati wa vita na Nduli Iddi Amini wa Uganda.










PICHA NA HABARI KWA HISANI YA BUKOBA SPORTS.COM
